Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.

Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Futuhiiiii ndiooo ni FUTUHI.
 
Huu mwaka wa uchaguzi tayari tumefikia uchimi wa kati, tayari tatizo la ajira kwa vijana linaenda kuisha, ni mapambio mbele kwa mbele wengine yetu macho na maskio
 
Huu mwaka wa uchaguzi tayari tumefikia uchimi wa kati, tayari tatizo la ajira kwa vijana linaenda kuisha, ni mapambio mbele kwa mbele wengine yetu macho na maskio
Hatupo kwenye uchumi wa kati
Tupo kwenye uchumi wa kati wa chini
Ebo!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ongezeko la ajira FAKE. Wahuni hawa kwa kupika numbers hata aibu hawana!!!

Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.

Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Press conference ya ajabu kabisa

Msemaji wa serikali jinsi anavyoongea na wanahabari ni kama yuko kijiweni anapiga story tena kwa mipasho;;;!!!

Leo nilipomuona msemaji yule wa china anavyoongea na media kwa adabu tena kwa haiba ya afisa mwandamizi wa umma

Nikimuonaga yule spokeswomen wa white house hadi raha

Kichekesho kingine ni wanahabari wajinga eti hata maswali hawana na wanapiga makofi kubariki mazungumzo yenye utata

Polen

Aitwa spokeswoman.
 
Nchi nyingine, waliopatwa na uwendawazimu wanakuwa kwenye hospitali za vichaa LAKINI kwetu wanakuwa maofisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1593723198958.png

​
 
Ni kweli miradi mikubwa inayotekelezwa na serikaki ya awamu ya tano ikiwemo ya SGR, Bwawa la Nyerere, REA, TARURA nk, inetoa ajira nyingi sana kwa vijana wasomi, wataalamu na wasio wataalamu. Tatizo linanakuwa ni ujira mdogo wanaopewa hawa wafanyakazi kutoka kwenye haya makampuni huku wao wakinufaika na fedha nyingi wanazopewa na serikali.

Hii ndio sababu vijana wengi hutamani kupata ajira serikalini sababu ya maslahi mazuri, inafikia wakat mtu akipata kazi kwenye baadhi ya kampuni anahisi bado hajapata ajira kwa kuwa fedha anayolipwa haiendani na kazi anayoifanya na hivyo humfanya kuishi maisha magumu kulinganisha navmwenye kiwango cha elimu sawa aliopo serikalini.

Ni wakati sasa serikali ikawabana hawa waajiri binasfi watoe mishahara mizuri kwa wafanya kazi wao, tena ni bora wakaajiri watu wachache wakawalipa vizuri kuliko kuajiri watu wengi wakawalipa kiduchu. Ikiwa wataajiri watu wachache wakawalipa vizuri ni rahisi hawa wachache kutoa ajira nyingi mtaani maana watanunua viwanja watajenga, watalima watasomesha wapendwa wao, watafungua biashara na kuajiri watu wengi sana na kupelekea mzunguko wa fedha kuwa mkubwa.
 
Hizo ajira za muda huku wengi wakiwa ni vibarua ndio za kujisifia?

Hawa watu bure kabisaa!!
Na kipato chenyewe in kiasi gani kuweza kujivunia kusema kuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja umeongezeka
 
Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.

Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Natamani nitoe tusi kubwa sana, ajira zipi...?
 
Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.

Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyu mzee ni mpuuzi ndiyo maana ana kipara badala ya nywele, ajira zimeongezeka baada ya yeye kuwa na nafasi mbili hivyo anaona zipo za kutosha ndiyo maana yeye anazo mbili
 
Maajabu ya mwaka, tumeingia katika uchumi wa kati ilihali pato LA kila mtz likibaki almost palepale.. Kutoka usd 1970 mpk 1990. Kama waTZ hali yetu kiuchumi ni ileile tofauti tu ni WB kubadili range ya kucategorize pato LA nchi na kuondoa kipengele nafikiri cha chakula kama sehemu ya pato. Bado tuko palepale
 
Yani kwenda kubeba mataruma ni ajira mbao zimeipeleka nchi kwenya middle age incom.
Wanajua mateso wanayopewa na waturuki?
Waturuki wanalipa vibaya sana n ukidondosha hata kijiko tu uafukuzwa.
Waende wakawaulize wabongo wenzao.
Naamini mwenye ajira ni kidoti na Bashite
 
Press conference ya ajabu kabisa

Msemaji wa serikali jinsi anavyoongea na wanahabari ni kama yuko kijiweni anapiga story tena kwa mipasho;;;!!!

Leo nilipomuona msemaji yule wa china anavyoongea na media kwa adabu tena kwa haiba ya afisa mwandamizi wa umma

Nikimuonaga yule spokeswomen wa white house hadi raha

Kichekesho kingine ni wanahabari wajinga eti hata maswali hawana na wanapiga makofi kubariki mazungumzo yenye utata

Polen

Kama sikosei Mh Mkapa aliwahi kuwaita waandishi wa habari jina fulani hivi! Anyways, itoshe tu kusema kuwa nchi yetu haina waandishi wa habari makini na hii imechangiwa na ukosefu wa uhuru wa kutoa maoni. Ninaamini waandishi wa habari wanajua wajibu wao lakini hawana ujasiri wa kuusema ukweli bila kujali ukweli huo unamuumiza nani! Waandishi wa habari siku hizi, kwa kiasi kikubwa, ni waganga njaa!
 
Back
Top Bottom