Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Futuhiiiii ndiooo ni FUTUHI.Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.
Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hatupo kwenye uchumi wa katiHuu mwaka wa uchaguzi tayari tumefikia uchimi wa kati, tayari tatizo la ajira kwa vijana linaenda kuisha, ni mapambio mbele kwa mbele wengine yetu macho na maskio
Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.
Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Press conference ya ajabu kabisa
Msemaji wa serikali jinsi anavyoongea na wanahabari ni kama yuko kijiweni anapiga story tena kwa mipasho;;;!!!
Leo nilipomuona msemaji yule wa china anavyoongea na media kwa adabu tena kwa haiba ya afisa mwandamizi wa umma
Nikimuonaga yule spokeswomen wa white house hadi raha
Kichekesho kingine ni wanahabari wajinga eti hata maswali hawana na wanapiga makofi kubariki mazungumzo yenye utata
Polen
Nchi nyingine, waliopatwa na uwendawazimu wanakuwa kwenye hospitali za vichaa LAKINI kwetu wanakuwa maofisi.Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.
Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ninworld bank ndio wamepika hizi dataHizi takwimu ni za kupika. Labda tuhitimishe kwa kusema kwamba "hii ndio awamu iliyotia fora kwa uongo data feki".
Na kipato chenyewe in kiasi gani kuweza kujivunia kusema kuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja umeongezekaHizo ajira za muda huku wengi wakiwa ni vibarua ndio za kujisifia?
Hawa watu bure kabisaa!!
Natamani nitoe tusi kubwa sana, ajira zipi...?Msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.
Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyu mzee ni mpuuzi ndiyo maana ana kipara badala ya nywele, ajira zimeongezeka baada ya yeye kuwa na nafasi mbili hivyo anaona zipo za kutosha ndiyo maana yeye anazo mbiliMsemaji mkuu wa serikali Dr Abbas amesema uwekezaji mkubwa katika miradi ya kimkakati iliyozalisha ajira lukuki ndio sababu kuu ya kupaisha uchumi wetu.
Dr Abbas amesema miradi kama SGR na Stiglers Gorge imekuwa kichocheo cha ongezeko la ajira nchini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Inauma sana jpm anafikia malengo haraka zaidi ya mlivyodhani