Dkt. Abbas: Ongezeko la ajira ni sababu kuu iliyotupeleka uchumi wa kati

Ajira za awamu hii ili kuzijua inabidi uwe na connection kama kupata movie ya Gwajiboy akitandika bao la kifo cha mende
 
Kichekesho kingine ni wanahabari wajinga eti hata maswali hawana na wanapiga makofi kubariki mazungumzo yenye utata
Shida kweli. Hatuna waandishi wa habari bali tuna wachukua notes. Nchi nyingine waandishi wana elimu nzuri na hujipanga kabla ya kuattend press conference yoyote. Wa kwetu sisi ni elimu za kuungaunga na wachumia tumbo tu
 
Huyu msemaji bwana,bureeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…