kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Hahahaaaa nchi hii tuna wasomi chumia tumbo..yaan ni shida aiseeVictoire huyo jamaa anajiita Dr nadhani naye ana Phd, lakini ni mpuuzi wa kutupa ambaye hastahili hata kuwa na Bachelor Degree kutokana na ujinga anaongea.
Victoire huyo jamaa anajiita Dr nadhani naye ana Phd, lakini ni mpuuzi wa kutupa ambaye hastahili hata kuwa na Bachelor Degree kutokana na ujinga anaongea.
Sio saana mjuzi wa mambo haya kwanini tusiige wenzenu,mifuko ya kijamii siipo kwanini watu wasiwezeshwa kutoka humo kama wenzetu,maana hela zile ni zao na serikali haina hata senti mule zote ni za wafanyakaziS
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
Wa kwanza ku comment!Rais Magufuli anaipaisha Tanzania kiuchumi.
Kweli kabisa, walimu na wafanyakazi wameongezewa mishahara.Rais Magufuli anaipaisha Tanzania kiuchumi.
Yani wewe ni poyoyio na kibuyu.S
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
Nina wasi wasi na umri wako ni age 16yrs maana kama ni elimu hata la nne B anajua nn maana ya miongozo ya serikali ktk sekta binafsiMkuu iwasadie kwa lipi? Wakati wanaenda kutafuta ajira huko private schools waliita serikali iwasaidie kusaini mikataba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu akina nani? Makerere ndio wenzetu?Wenzenu wameongeza 100% ya salary wewe unazungumzia habari ya kutokushusha.View attachment 1463144
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ziro mm Sina elimu kubwa lkn najua umuhimu wa serikali kusimamia unyonyaji wa ajiriwa sekta binafsi coz ndo ime ajiri raia wengi kuliko serikali hivyo ndo inayolipa kodi mbwa wewe usiyejielewa kisa kuna namna unafaidika haimanishi ucwajali wenzio wasio serikalini kichaa weweS
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
Jamaa anasema uongo live. Jana anasema eti nchi nyingi sasa hivi hazitangazi updates za Covid. Nchi gani hizo ?Kama sio Burundi na Tanzania tu?Kama siasa ndo kusema uongo sijui ni siasa gani hizi.Victoire huyo jamaa anajiita Dr nadhani naye ana Phd, lakini ni mpuuzi wa kutupa ambaye hastahili hata kuwa na Bachelor Degree kutokana na ujinga anaongea.
TCU iko ICU inapitisha PhD bandia hata kwa wahitimu wa chekechea siku ya mahafali nao wanavaa joho na kibandiko cha wasomi kama babu zao. Siyo lazima kuhenya darasani au maabara kuibuka na PhD, ni kuokota tu toka kule.Wasomi Tanzania wanatoa kauli za ajabu sana haziendani na kiwango cha Elimu zao mpaka inakatisha tamaa kwa kweli...
Pia ni miongoni mwa upaishajiUchumi upi?? ameipaisha Tz kwa kuonekana tuna rais wa ajabu ajabu mpk watu wanataka kuja kumtalii
Kodi wanazolipaS