Dkt. Abbass: Kiuchumi tuko vizuri ndio maana hatujashusha mishahara ya watumishi kama nchi nyingine

Dkt. Abbass: Kiuchumi tuko vizuri ndio maana hatujashusha mishahara ya watumishi kama nchi nyingine

Mshahara wa chini ni shilingi 80,000 kwa mwezi. Huyu mwananchi ataishi vipi? Tuko vizuri?
 
Pia ni miongoni mwa upaishaji

Maana kama watalii watakuja kumtalii basi hawaji kumtalii bure lazima pesa itangia serekalini

Na ndo kumpanda kwa uchumi kwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulipa kodi ni sheria kwasababu unafanya kazi kwenye ardhi ya serikali. Pesa ambayo anapaswa kupewa mfanyakazi ni pesa ya NSSF tu, mbali na hapo save pesa zako. Kama husave unatumia pesa hovyo mwisho uanze kuililia serikali unaingia hasara
 
Aidha, vipimo vya sasa vikitoa majibu vinaaminika zaidi kuliko vile vya awali ambavyo vilitoa majibu ya Mapapai na Mbuzi wakiwa wameathirika na virusi hivyo
Kauli za Wana siasa wengine ni kama utahaira hivo vipimo vipya vya COVID19 mmetengeneza wenyewe Tanzania? au mmeomba wabadilishe? hao walio wapa vyenye Covid ndiyo walewale? na huyo aliye pima mapapai alikishikaje hicho kipimo kukiweka mpaka kika mpa majibu?

Mkiendekeza kauli hizi, mtakufa mbaya wote! muache ka-ugali na Firigisi!
 
Nchi gani hiyo wameshusha mshahara? Walimu wa shule za private wameteseka hapa serikali ipo wapi kuwasaidia?
Private sector itumie janga hili la corona kujitathmini!
 
Huyu hana akili haelewi anachoongea kimsingi hali ni mbaya

Garama za maisha 2015 na 2020 ni sawa?

Kimsingi mishahara imeshuka zaidi ya 50%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom