LGE2024 Dkt. Ananilea Nkya: Chama kilichopo Madarakani hakipaswi kusimamia Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Your browser is not able to display this video.
Baadhi ya Wakazi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepewa elimu juu ya umuhimu wa marekebisho ya Katiba iliyopo sasa.

Wakufunzi katika mafunzo hayo Mwl. Deus Kibamba ambaye ni Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Dkt. Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA na Mwenyekiti wa Bodi ya Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Dkt. Ananilea Nkya, wamesema kwa sasa nchi inahitaji kupata katiba mpya ili kuenenda na wakati uliopo ambapo yapo mambo mengi hayako vizuri katika uwajibikaji.

Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa polisi ulioko Manispaa ya Mpanda huku makundi maalumu akihudhuria wakiwemo vijana, watu wenye ulemavu na akina wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…