Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
For *** sake man, anaongea premium bullshit gani huyu?Ama hakika uchawa mbaya sana. Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania Cha TBC leo Novemba 25, 2025 mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania anasema vyombo vya habari vya magharibi vilitakiwa kutusaidia kuripoti kuhusu serikali ya Rais Samia kupunguza vifo vya mama na mtoto na si yaliyotokea Oktoba 29.
Eti dr ? Avuliwe hiyo qualification
full shit, with this type of thinking hatuendi mahali kwakweli