Dkt. Ayub Rioba akanusha vikali kuondoka TBC, awaomba Watanzania wapuuze uvumi

Dkt. Ayub Rioba akanusha vikali kuondoka TBC, awaomba Watanzania wapuuze uvumi

Sawa kabisa, umekaa miaka sita kama DG wa TBC, hebu tutajie kitu kimoja tu ulichofanya cha maana. Unamkumbuka Tido Mhando? Alikaa miaka miwili tu lakini maendeleo yote unayoyaona tbc leo yeye ndiye muasisi wake.
Wrong
 
Analamba Asali Tbc Imeshinda Wanarudia Vipindi Hivyo Hivyo Zaidi Ya Miaka 3 Mfululizo
 
Sawa kabisa, umekaa miaka sita kama DG wa TBC, hebu tutajie kitu kimoja tu ulichofanya cha maana. Unamkumbuka Tido Mhando? Alikaa miaka miwili tu lakini maendeleo yote unayoyaona tbc leo yeye ndiye muasisi wake.
Aridhio[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Hana jipya ajiandae kuondoka hapo Tena kitendo chake Cha kuja kujitetea ndio Kama anamuamsha bi mkora atafute mtu wake.

Tusubiri kobazi inaingia hapo mtaniambia.
Tatizo la Rioba alikuwa mtu wa JPM sana kwa madam huku yupo kibahati bahati tu.
 
Back
Top Bottom