Sawa kabisa, umekaa miaka sita kama DG wa TBC, hebu tutajie kitu kimoja tu ulichofanya cha maana. Unamkumbuka Tido Mhando? Alikaa miaka miwili tu lakini maendeleo yote unayoyaona tbc leo yeye ndiye muasisi wake.