DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Leo katika kumbukizi tunamwangizia Dkt. Azaveli Feza Lwaitama, ambaye aliwahi kusema kuwa afisa wa polisi aliyetajwa kuhusika na utekaji wa Sativa, na kutajwa tena na Mbowe, anapaswa kujiuzulu au kuwekwa pembeni hadi uchunguzi ukamilike, ili kudumisha heshima ya Jeshi la Polisi.
Pia Soma: Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi
Alisisitiza kuwa kama yeye angekuwa huyo kamanda (Mafwele) kutokana na maelezo ya Sativa, ningeshajiuzulu. Nadhani hii inatokana na hofu yake kuwa, kama hajamalizia hoja zake au masuala yanayohusiana na nyumba, bado anaogopa mtu kama yule (Mafwele) kuwa ndani ya Jeshi la Polisi.
Pia Soma: Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?
Pia Soma: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?
Hayo yalijiri na kuzungumzwa na Lwaitama mnamo Oktoba 5, 2024, katika kongamano la kitaifa dhidi ya matukio ya kupotea kwa raia nchini.
Soma Tena: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?