Dkt. Bagonza: Kama Yuda alichokoza; aliyechokozwa asichokozeke. Kama Yuda amechokozwa; asichokozeke

Dkt. Bagonza: Kama Yuda alichokoza; aliyechokozwa asichokozeke. Kama Yuda amechokozwa; asichokozeke

Hakuna kupepesa macho huyo Mbunge Simai ashughulikiwe kaidhalilisha katiba.Katiba ndo iliyomweka Nchimbi hapo..Kumdhalau Nchimbi ni kuinajisi Katiba ambayo inalindwa na kuheshimiwa..Matarajio yangu ni kuona huyo Mbunge anaitwa na kuhojiwa halafu hatua za kumuawajibisha zinafuata..Haya mambo tunayaona ni madogo lakini ni makubwa kama kuna mtu yupo juu ya katiba basi.Yote kwa Yote.MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopita na wakati muda ndo huu bado hatujachelewa.
 
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom