Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Ha ha ha ha.. Inawezekana baadae akija kujisikiliza akashangaa na kuja kujaribu kuikana kauli yake, na kujaribu kuipa ufafanuzi.. Pro Lumumba hamna sababu za kuja kusifia hapa, katibu wenu ameshathibitisha kile ambacho wapenda maendeleo wote walikuwa na shaka nacho..
 
Mtu yoyote akikosoa chadema amenunuliwa?

Dk Slaa aliwakosoa chadema akawahoji hao mnaopokea ni asset au liability? Akaambiwa ni Dk mihogo amenunuliwa na ccm lakini leo Mbowe na wazee wa chadema wanajuta hadharani kupokea pokea wanachama hovyo. Chadema badala ya kujibu hoja za Mbatia wanajificha kwenye kichaka cha amenunuliwa na CCM!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo dola nayo inasema ccm oyee. Kidumu chama tawala pamoja na fikra za mwenyekiti. Dola kumbukeni nanyi mnafamilia zenu uku mtaani mana si kwa kutetea tumbo ivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana kumtoa Mbowe kwenye uwenyekiti ni kazi mno, ukijaribu tu unaambiwa sumu haijaribiwi kwa kuonjwa.
 
Mnamlisha maneno Bashiru.

Alichomaanisha kukisema in short ni hivi.

Unapokuwa umeshika dola una nafasi kubwa ya kupata ushwishi kwa kutumia dola kuwatumikia wananchi.
Mfano:

Ujenzi wa huduma za miundombinu.(hiyo ni kazi ya dola).

Utoaji wa elimu bure msingi hadi sekondari(hii ni kazi ya dola).

Ujenzi wa miradi mikubwa ya umeme kama stiegles gorge(hiyo ni kazi ya dola).

Usambazaji wa umeme vijijini kote nchini REA (hii ni kazi ya Dola).

SGR project nayo ni kazi ya dola,

Yaliyofanyawa na dola katika awamu ya tano ni meengi sana wala humu hayatoshi bali ni kazi ya washika dola kwa kutumia platform ya kampeni ili kuwasilisha taarifa za yale yaliyofanywa na dola na kisha kusubiri uamuzi kwenye debe la kura.

Kwa hiyo unapokwenda kwa wapiga kura wewe unakuwa na unafuu kama dola kwa kuwaeleza yale mema mshika dola uliowafanyia.

Na kwa vile mengi wanakuwa wameishayaona basi wewe mshika dola unakuwa na advantage kubwa kueleweka kuliko yule mpiga zumari la upotoshaji.

Kama mnavyofanya humu mitandaoni.

VIVA JPM,VIVA CCM 2025[emoji1241][emoji818][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Hayati Moi wa kenya naye alisema ivoivo ila mwisho wa siku alisepeshwa madarakani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…