Zanzibar 2020 Dkt. Bashiru Ally azungumza na Wazee wa Zanzibar, adai fedha ya Uchaguzi ipo ya kutosha, hawahitaji Misaada

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Fuatilia Kupitia Television na Redio mbalimbali pamoja na Mitandao ya Kijamii.

Nazungumzia yanafanyika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui.

Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tafadhali fuatilia.

=====

DKT. BASHIRU: TUNAZO FEDHA ZA KUENDESHA UCHAGUZI, HATUHITAJI MSAADA

Akizungumza katika mkutano wake na Wazee wa Zanzibar, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema wamejipanga kwasababu walijua kuna Uchaguzi na watahitaji magari na fedha

Amesema, "Ukiona mtu anatafuta kura na anatembeza bakuli za pesa, unajiuliza anaomba kura au anaomba pesa? Ujue huyo hajajiandaa kwasababu Uchaguzi ulijulikana tangu 2015"

Aidha, Dkt. Bashiru ameongeza, "Fedha tunazo, na nguvu tunazo za kutosha za kuendesha Uchaguzi. Hatutaji msaada wala takrima kutoka kwa mtu yeyote"

Amesema kampeni za CCM zinaendeshwa kwa misingi minne ambayo ni kujitegemea, nidhamu, ajenda ya Uchaguzi na kuwa na wagombea wanaoweza kuanza na kufika mwisho wa Uchaguzi
 
Hawa jamaa mbona press zimekuwa nyingi Sana duh
 
Fuatilia Kupitia Television na Redio mbalimbali pamoja na Mitandao ya Kijamii.

Nazungumzia yanafanyika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui.

Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tafadhali fuatilia.

Kuna kitu nashindwa kuelewa

Why wagombea ambao wanaenguliwa ni upinzani tu na sio CCM

Why wafuasi ambao wanauliwa na kuumizwa ni CCM tu?
 
mwaka huu wazanzibari wana jambo lao, ma-CCM kaeni mkao wa kuliwa
 
Wanafungia accounts za wabunge wa upinzani ili wasipate hela za kugombea ubunge , kuna baadhi ya wagombea wamefungiwa account zao za benki na hawawezi kutoa hela ,ccm ni wahuni
 
Ok ok ok

Mapato ya ATCL ni siri ya Pombe

Mapato ya madini ni siri ya Pombe

Msimamizi mkuu wa hazina ya nchi ni mjomba wa Pombe

Basi ni mwendo wa kujichotea mahela ya nchi kama makande ya kilioni huko vijijini

Sheitwani ccm.
 
Fedha haramu haitakiwi kutumika kwenye uchaguzi
 
Watu wanaotekwa,kuuliwa ama kushambuliwa,wengine wananyimwa kugombea kwa vizingiti ambavyo vimewekwa ili ukiruka kimoja,unakutana na kingine.Huo ndio upinzani wa Tanzania.Kwa Mtanzania mpinzania achaguliwe kuwa kiongozi anakuwa amepambana/amepambaniwa kwa nguvu kubwa mno.
Kwa anayefikiri nje ya box la ujinga anatambua anayeratibu uhalifu dhidi ya Wapinzani,hauhitaji elimu kubwa kubaini kuwa hawa wote ni adui namba moja wa CCM na watu wake.Hakuna Mtanzania anayejitoa muhanga kujishambuli/kujidhuru ili kuipaka matope serikali/CCM,hivyo ni wazi watsi wa upinzani wapo hadharani kweupeee!
Watanzania tuepuke hila za wapinga Haki,wanahubiri Amani na Maendeleo ya vitu huku wakififisha Haki za Watanzania.Jukumu la kuwaondoa hawa wahalifu ni la kila Mtanzania,tusifanye makosa.Hawa jamaa uchaguzi huu ni wa mwisho kwao,baada ya 2020 hakutakuwa na chaguzi tena.Kuna kila dalili ya Urais wa maisha na wabunge/madiwani,wenyeviti wa serikali za vijiji na vitongoji watakuwa wanateuliwa Kutoka State House.Take Care!
 
Hali yetu ni mbaya zaidi wakirudi madarakani,tufanye kila liwezekanalo kuliokoa taifa letu Tanzania,bora hata kumchagua Queen.
Ok ok ok

Mapato ya ATCL ni siri ya Pombe

Mapato ya madini ni siri ya Pombe

Msimamizi mkuu wa hazina ya nchi ni mjomba wa Pombe

Basi ni mwendo wa kujichotea mahela ya nchi kama makande ya kilioni huko vijijini

Sheitwani ccm.
 
Mbona wapinzani wakizungumza na watanzania wenzetu huwa hatuwasikii kwenye hizo unazoziita "radio na TV mbalimbali"?Dhuluma haikuwahi kuishinda haki!
Kwani Mbowe anataka kulipia au bure?. CCM wanalipia radio na TV, yeye amekazana na faru John wake. Atavuna alicho panda.
 
Kuna kitu nashindwa kuelewa

Why wagombea ambao wanaenguliwa ni upinzani tu na sio CCM

Why wafuasi ambao wanauliwa na kuumizwa ni CCM tu?

Waliuwawa na Upinzani Momba, Njombe na pemba na Dodoma mbona huwa hesabu.?
 
Fuatilia Kupitia Television na Redio mbalimbali pamoja na Mitandao ya Kijamii.

Nazungumzia yanafanyika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui.

Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tafadhali fuatilia.

=====

DKT. BASHIRU: TUNAZO FEDHA ZA KUENDESHA UCHAGUZI, HATUHITAJI MSAADA

Akizungumza katika mkutano wake na Wazee wa Zanzibar, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema wamejipanga kwasababu walijua kuna Uchaguzi na watahitaji magari na fedha

Amesema, "Ukiona mtu anatafuta kura na anatembeza bakuli za pesa, unajiuliza anaomba kura au anaomba pesa? Ujue huyo hajajiandaa kwasababu Uchaguzi ulijulikana tangu 2015"

Aidha, Dkt. Bashiru ameongeza, "Fedha tunazo, na nguvu tunazo za kutosha za kuendesha Uchaguzi. Hatutaji msaada wala takrima kutoka kwa mtu yeyote"

Amesema kampeni za CCM zinaendeshwa kwa misingi minne ambayo ni kujitegemea, nidhamu, ajenda ya Uchaguzi na kuwa na wagombea wanaoweza kuanza na kufika mwisho wa Uchaguzi

Ni kweli fedha ya wizi wanayo na ndiyo hii wanaitumia kuhonga
 
Attachments

  • VID-20201005-WA0023.mp4
    6.3 MB
Kuna kitu nashindwa kuelewa

Why wagombea ambao wanaenguliwa ni upinzani tu na sio CCM

Why wafuasi ambao wanauliwa na kuumizwa ni CCM tu?
Maagizo toka juu.. Tume ya ccm tegemea nin apo ni dhahir uwanja wa siasa wa haki ccm hawawezi kupambana na upinzan wala hawajawah weza njia pekee ni kutia figisu kama izi kuwaengua tu maana kushindana hawawezi hofu imewakaa
 
“We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light."
 
Kwani Mbowe anataka kulipia au bure?. CCM wanalipia radio na TV, yeye amekazana na faru John wake. Atavuna alicho panda.
Kimsingi media za serikali sio za ccm maana zinaendeshwa kwa kodi zetu sijui kama unaelewa
 
Hii sio CCM????
Ejk9dp8XYAEQOMT.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20201005-111002.png
    Screenshot_20201005-111002.png
    65.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom