Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Fuatilia Kupitia Television na Redio mbalimbali pamoja na Mitandao ya Kijamii.
Nazungumzia yanafanyika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui.
Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tafadhali fuatilia.
=====
DKT. BASHIRU: TUNAZO FEDHA ZA KUENDESHA UCHAGUZI, HATUHITAJI MSAADA
Akizungumza katika mkutano wake na Wazee wa Zanzibar, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema wamejipanga kwasababu walijua kuna Uchaguzi na watahitaji magari na fedha
Amesema, "Ukiona mtu anatafuta kura na anatembeza bakuli za pesa, unajiuliza anaomba kura au anaomba pesa? Ujue huyo hajajiandaa kwasababu Uchaguzi ulijulikana tangu 2015"
Aidha, Dkt. Bashiru ameongeza, "Fedha tunazo, na nguvu tunazo za kutosha za kuendesha Uchaguzi. Hatutaji msaada wala takrima kutoka kwa mtu yeyote"
Amesema kampeni za CCM zinaendeshwa kwa misingi minne ambayo ni kujitegemea, nidhamu, ajenda ya Uchaguzi na kuwa na wagombea wanaoweza kuanza na kufika mwisho wa Uchaguzi
Bashiru ni kweli fedha mnayo na nyengine mnaihonga hii hapa