Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mwache tu apate hata ka pensheni kidogo!Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie uvute naye siku hata miezi sita.
Lakini ndani ya mwezi na siku kadhaa ukawa umeg'olewa. Ok sio mbaya maana kwa utumishi wa umma unatakiwa uwe tayari kwa lolote. Lakini sio kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu.
Madhari umeshatii mamlaka ya uteuzi basi we jiuzulu na uanze zako tena mimi nakushauri achana na masuala ya siasa ili kulinda heshima zako. Kama vipi rudi Bukoba ukaendeleze kilimo na biashara ya matoke. Maana walichokufanyia ni udhalilishaji.
View attachment 1769575
Alinde heshima yake.
Umeleewa lakini? Au unawaza mshahara wa ubunge na marupurupu tu?Muache ale, wanasiasa wote hata wasio bungeni wanatamani kwenda bungeni kutengeneza maisha yao, sio upinzani wala chama tawala, Bashiru aachwe kusimangwa kilichomkuta ni ajali tu za kisiasa ambazo huwakuta wengi.
😅😅😅severe depression.Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie uvute naye siku hata miezi sita.
Lakini ndani ya mwezi na siku kadhaa ukawa umeg'olewa. Ok sio mbaya maana kwa utumishi wa umma unatakiwa uwe tayari kwa lolote. Lakini sio kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu.
Madhari umeshatii mamlaka ya uteuzi basi we jiuzulu na uanze zako tena mimi nakushauri achana na masuala ya siasa ili kulinda heshima zako. Kama vipi rudi Bukoba ukaendeleze kilimo na biashara ya matoke. Maana walichokufanyia ni udhalilishaji.
View attachment 1769575
Lakini sio kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu.
tatizo lako unamshauri huku unamkebehi, chagua kimoja either umshauri au uendelee na mipasho yako...Kama vipi rudi Bukoba ukaendeleze kilimo na biashara ya matoke
Kwani wao wabunge wasiyokuwa na majimbo wanasemaje?Hibi wabunge wanaposema wanaenda majimboni..... Bashiru na wenzake kina Halima wanaenda wapi?
Unasema ukiwa mtumishi wa umma uwe tayari kwa kazi yoyote.Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie uvute naye siku hata miezi sita.