Dkt. Bashiru Ally jiuzulu ili kulinda heshima yako, kupewa Ubunge wa kuteuliwa ni kudhalilishwa

Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie uvute naye siku hata miezi sita.

Lakini ndani ya mwezi na siku kadhaa ukawa umeg'olewa. Ok sio mbaya maana kwa utumishi wa umma unatakiwa uwe tayari kwa lolote. Lakini sio kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu.

Madhari umeshatii mamlaka ya uteuzi basi we jiuzulu na uanze zako tena mimi nakushauri achana na masuala ya siasa ili kulinda heshima zako. Kama vipi rudi Bukoba ukaendeleze kilimo na biashara ya matoke. Maana walichokufanyia ni udhalilishaji.

View attachment 1769575
Alikuwa anadhalilisha wenzie kwa kuwafanya bidhaa. Kimsingi aliwanunua akina Silinde, Gekul, Mollel, kwa mtindo wa human trafficking, ngoja na yeye adhalilike.

Ole wake mtu amtegemeaye mwanadamu
 
Nafikiri mnatoa hoja dhaifu kutokana na uelewa wenu.Bashiru ni senior lecturer wa UDSM.Ana uwezo wa kurudi UDSM na kuendelea kuwa lecturer,huku akiwa na amani.Na kufikikisha miaka 65 ,akapata mafao yake akatulia.Bashiru si wababaishaji kina Nyarandu.
 
tatizo lako unamshauri huku unamkebehi, chagua kimoja either umshauri au uendelee na mipasho yako...
Hakuna kebehi labda wewe ndio unauelewa mdogo. Unadhani kulima matoke ni kebehi?
 
Nafikiri mnatoa hoja dhaifu kutokana na uelewa wenu.Bashiru ni senior lecturer wa UDSM.Ana uwezo wa kurudi UDSM na kuendelea kuwa lecturer,huku akiwa na amani.Na kufikikisha miaka 65 ,akapata mafao yake akatulia.Bashiru si wababaishaji kina Nyarandu.
Sawa, sasa kama ni hivyo mbona anadhalilishwa? Kutoka kuwa Cs mpaka mbunge viti maalumu?
 
Alikuwa anadhalilisha wenzie kwa kuwafanya bidhaa. Kimsingi aliwanunua akina Silinde, Gekul, Mollel, kwa mtindo wa human trafficking, ngoja na yeye adhalilike.

Ole wake mtu amtegemeaye mwanadamu
Human trafficking? Hao kama walinunuliwa ni njaa zao tu sidhani kama ni mfano wa human trafficking. Unataka kuibua hoja zingine hapa.
 
Sawa, sasa kama ni hivyo mbona anadhalilishwa? Kutoka kuwa Cs mpaka mbunge viti maalumu?
Kupewa ubunge si kudhalilishwa.Ni kazi tu.Akitoka hapo anarudi UDSM kuendelea na lectures. Bado yupo kwenye platform nzuri tu.Tuwe na akiba ya maneno kwa wengine.
 
We bwege kabisa, bora asingepewa ubunge.
 
Alikuwa anadhalilisha wenzie kwa kuwafanya bidhaa. Kimsingi aliwanunua akina Silinde, Gekul, Mollel, kwa mtindo wa human trafficking, ngoja na yeye adhalilike.

Ole wake mtu amtegemeaye mwanadamu
Tatizo lako wewe huwa unajadili mada kwa chuki, una chuki na JPM, Polepole na Dr Bshiru. Sasa habari za kina Gekul kununuliwa unazo ushahidi? Acha porojo za kitoto.
 
Alikuwa anadhalilisha wenzie kwa kuwafanya bidhaa. Kimsingi aliwanunua akina Silinde, Gekul, Mollel, kwa mtindo wa human trafficking, ngoja na yeye adhalilike.

Ole wake mtu amtegemeaye mwanadamu
Nyalandu na Yule wa Lindi wamenunuliwa na Nani?! Au aliacha invoice ofisini?
 
JK anazijua sana fitina za chini kwa chini. Mzee wa kikwere anayo haki ya kupewa shahada maalum ya siasa za chini ya kapeti.

Jinsi anavyomtazama Lowassa akiwa na tabasamu lake la kutoka jino la mwisho kushoto mpaka la mwanzo kulia ni elimu fulani ya kipekee ya kuzijua siasa zaidi ya zile za darasani.

Tangu Bashiru aingie kwa gia kubwa akiaminiwa na hayati JPM huyu msomi wa chuo kikuu alikuwa 'akitazamwa' tu na Mkwere na wakongwe kadhaa wachache.
 
Dhambi ya kusimamia utekaji na vitisho itamtafuna mpaka kufa hiyo ndio karma huwa haiongopi hata kidogo...hao wahuni wanampa Mama safari Tanga akafanye ufunguzi na Waziri Mkuu hajui kitu anajibu anavyotaka kumbe habari ishakuwa tofauti harafu wao kimya kimya wakiendelea na vikao wacha wapumzike aisee ingekua Nchi zingine angekua jela sio Bungeni huyo ghafra pole pole alianza kuja na tabasamu la unafiki la kitoto...
Na hii ndio inamharibia kabisa huyu Bashiru,alijitwika majukumu yasiyo saizi yake.Sijui alikuwa na lengo gani!!
Mama akaenda kutangazia msiba Tanga usiku mkubwa.
Kuna mengi chini ya kapeti tutayasikia wakati mwingine
 
Nawambia bashiru ni mtu makini basi nyie hamjui.kwa sasa atulie.fungu lake lipo hata kama sio leo nawaambia kuna siku bashiru atalipwa.

Naamini alitimiza wajibu.
 
Back
Top Bottom