Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Mimi niliku scout kama mtu elite na Marxist. Uliteuliwa kufanya tathmini ya Mali za chama na baadae Rais Magufuli alivutiwa na wewe akakuteua kuwa katibu mkuu wa chama na hatimae katibu mkuu kiongozi.
Baada ya kifo chake uliondolewa kwenye nafasi ile kwasababu ambazo hata wewe unazijua vizuri kabisa. Baada ya hapo ulichagua kukaa kimya na ulisema mwenyewe kwamba ukimya wako ndiyo salama ya CCM.
Ulipoanza kuongea uliwasihi vijana na watanzania kwamba wasisifu kila kitu kwamba mama anaupiga mwingi Bali wahoji na kukosoa pia. Baada ya kauli ile CCM walikushambulia na wengine walisema ufukuzwe uanachama. Kama unavyojua CCM kwa mwenyekiti wao hata kama ni jiwe likaitwa mwenyekiti wa CCM hawataki liguswe.
Muda umepita hatimae simu zikaanza kuita kwako baada ya kampeni kuanza. Simu zimeita kwasababu wanataka wakutumie kutuliza wimbi la Magufuli ambalo ni Kali mno. Na hasa makombora ya Polepole. Pili wanataka kutuliza kanda ya ziwa. Wamejua wasira ameanza kufifishwa na hasa alipoambiwa alimtukana baba wa Taifa na amewahi kuomba uwaziri mkuu kwa Magufuli.
Je, hizi sifa unampa mama kwasasa zinatoka Moyoni mwako???? Jibu ni hapana. Mimi nakusoma body language. Ninachokiona kwako umekuwa tu muoga na kushindwa kusimama kama Bashiru. Hapa sasa Polepole ajengewe sanamu nchi mzima. Ndiye mtu pekee aliyekataa dhulma na kuacha mshahara mzuri na kuamua kusimamia falsafa yake.
Hilo kundi babangu halikufai ondoka. Hilo kundi ni la wanamtandao ondoka tafadhali. Kwenye corridors wana maongezi yao na wewe unajua.
Ukiamua kuungana nao is up to you comrade