chinchilla coat JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 5,107 Reaction score 10,969 Jan 17, 2022 #121 Jidu La Mabambasi said: Baada tu ya msiba wa Mwendazake,alitaka kuhudhuria kikao cha kwanza cha Kamati Kuu, akatolewa nje. Click to expand... Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu?
Jidu La Mabambasi said: Baada tu ya msiba wa Mwendazake,alitaka kuhudhuria kikao cha kwanza cha Kamati Kuu, akatolewa nje. Click to expand... Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu?
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Jan 17, 2022 #122 chinchilla coat said: Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu? Click to expand... Hivi inakujia akilini Bashiru na Kikwete kunywa chai pamoja!
chinchilla coat said: Huu sio kwamba ulikuwa uzushi wa Kigogo tu? Click to expand... Hivi inakujia akilini Bashiru na Kikwete kunywa chai pamoja!
chinchilla coat JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 5,107 Reaction score 10,969 Jan 17, 2022 #123 Jidu La Mabambasi said: Hivi inakujia akilini Bashiru na Kikwete kunywa chai pamoja! Click to expand... duh, kwa nini? naona kama CCM wengi wanamfagilia Bashiru, sijui kama kuna sababu inayomfanya wawe na bifu na Kikwete
Jidu La Mabambasi said: Hivi inakujia akilini Bashiru na Kikwete kunywa chai pamoja! Click to expand... duh, kwa nini? naona kama CCM wengi wanamfagilia Bashiru, sijui kama kuna sababu inayomfanya wawe na bifu na Kikwete
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Sep 11, 2022 #124 Well noted
Y Yusufu R H Sabura JF-Expert Member Joined Jun 26, 2020 Posts 355 Reaction score 486 Sep 11, 2022 #125 ameshakuwa km tena? hahaha