Dkt. Bashiru Ally: Mjamaa anayeishi kibepari

Siku hizi simuoni tena akivaaa skafu sijui uzalendo umeishia wapi

Uzalendo wake uliletwa na madaraka. Hujaona hawa wengine walioanza uzalendo wa kuhoji mikataba ya madini baada ya kupata madaraka makubwa zaidi, wakati siku zote w huko huko wakipitisha hiyo mikataba?
 
Wewe kenge wahi magogoni ukanywe chai na bwana wako anayekutuma.
 
Njaa mbaya jamani, mwenzenu anaganga njaa.
Anaenda kasi awe tajiri mapema kwani wenzake waliokuwa kwenye siasa wamepiga hatua kubwa mbele. Siasa inalipa bwana. Hebu mcheki Prof. Muhongo , Prof Kabudi, Prof Ndalichako, yule wa kwanza baada ya kunogewa na uwaziri akaamua kugombea ubunge kwao Mara, na hata hawa wawili Kabudi na Ndalichako 2020 bila shaka nao watatia timu majimboni kuomba Ubunge kwani kurudi vyuoni kufundisha hakulipi. Usishangae yule Kabudi wa tume ya katiba sio huyu wa sasa kiakili ingawa mwili ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…