Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukuwa demokrasia ndiyo huko . Kwenye demokrasia ya kweli huwezi kupata kura 80%.... Upinzani kushinda inawezekana ni CCM kushindwa lakini nchi inakuwa mshindi
Hapo alipo amekalia kuti kavu, muda wowote anatupwa.Dr Bashiru rudi kwa wanyonge usipofanya hivyo utafanya JPM atageuke kule chatto kaburini alipo. Mobilize wenzako wakiwepo Wabunge vimemo msaidie Taifa hili. Ukizubaa mwisho wa siku utakuwa useless kwani CCM ya sasa wamepania kuwafanya Watanzania wawaone mlikuwa Wajinga. Hebu onesheni urevu na umahiri wenu basi.
Hapo alipo amekalia kuti kavu, muda wowote anatupwa.
Hana anachoweza kufanya tena. Hana pa kushika na hatakuwa na wa kumsikiliza.
CCM ni mafia si kwa upinzani tuu, bali hata kwa makundi ya ndani na mtu mmoja mmoja.
Anapaswa kushukuru Mungu kwa kuwa hai mpaka hapo alipo.
Mkuu, ungeanzisha uzi wako, ambao ungeongelea haya uliyoandika! Thread imejitosheleza hiyo! Huna nauli, tembea kwa miguu, sio KUDANDIA ili ufike unakotaka kwenda!Mwambieni na lisu aacha uoga. Kufa atakufa tuu. Arud home amsaidie mbowe. Kila siku kulia Lia tu usalama wake Nan kamwambia kua ataishi milele.
Wewe dada ukitishwa na mjusi unapiga kelelee acha kumuongelea mtu aliyepambania uhai wake mbele ya risasi Zaid ya 30.Mwambieni na lisu aacha uoga. Kufa atakufa tuu. Arud home amsaidie mbowe. Kila siku kulia Lia tu usalama wake Nan kamwambia kua ataishi milele.
Kuishi na watu kwa haki na kuheshimu utu wao ni wema tosha hapa Duniani!!. Hawana usafi huo lakini Wana chembachembe za kuheshimu utu na haki za watu.hebu tusubiri hawa waliopo sasa tuone watatenda mema gani ili upinzani uingie madarakani
Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
Dunia tenda wema Sasa Kinana karudi, Magufuli kafariki, Membe kasamehewa, Ridhiwani waziri, Nape waziri na Makamba waziri!!!
- Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
- Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
- Walirekodi kwa kudukuwa simu za Raia binafsi ilimradi tu kwa wao waliowaona kama wapinzani. Hizi rekodi za simu zao ni bila kufuata sheria! lakini walitoa maaagizo hayo
- Waliharibu uchaguzi wa Tanzania 2020 kwa kutoa maelezo kwa polisi na usalama waibe kura tena waziwazi
- Walitaka nchi yetu isiwe na vyama vya upinzani kabisa kinyume na sheria
- Walitaka turudi kwenye ujamaa na kujiweka karibu ya vyama vya kikandamizaji vya China
- Waliwadharau Madaktari na kuweka kampeni zisizo na tafiti kwenye Corana mpaka tukapoteza viongozi wengi wa juu
- Wapinzani walikuwa maadui mpaka kupigwa risasi na vikosi vya usalama wa taifa vya siri.