Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

Kutokana na mambo ya hovyo ya sasa yanayofanywa kwa sasa ni bora usalama was viongozi uzidi kutishwa ili wabadilike na kutatua changamoto za wananchi.Hakuna maana kama wananchi hawana amani lakini viongozi wana kuwa na amani huku wanatapanya Mali za umma hovyo
 
Believing in conspiracies pia huwa ni kama ugonjwa flani though conspiracy yenyewe sio kitu kibaya...

Kila kitu mtu anaamini there is something behind Mara ooh hata tweet ya fatmah karume kasema kuna nguvu nyuma...

Conspiracy fault yake kubwa ni moja, ni kama logic ile ya watu wa Hisabati, sio kila logic ni kweli na hata uongo pia unaweza ukaleta logic ya kweli...

Mfano kama kukiwa na mawingu basi kutanyesha lakini si kweli kila kukiwa na mawingu basi lazima kunyeshe

Ukiangalia clip unaona kabisa yule kajilipua na kutoa hoja zake za moyoni ambazo kimsingi baadhi yetu huzichukulia kama hoja baadhi yetu huzichukulia kama attacks
 
Makamba anapata wapi Nguvu za kuihujumu serikali ya CCM kupitia hujuma Tanesco!

Makamba anapata wapi uthubutu wa kuhujumu jitihada za wajasiriamali wa nchi hii kwa kuwakosesha Umeme ambao ni nguzo yao kuu ya ujasiriamali?

Nape anapata wapi nguvu ya kutuhujumu watanzania,kwa kukubali bahasha kutoka makampuni ya simu yakiongozwa na TIGO ya Rostam Aziz?

Msitumie muda na nguvu nyingi kupingana na wasema kweli!
 
Bashiru na mjinga mmoja tu huwezi mtishia raisi kindezi hivyo. Mbona wakati akiwa na buyu la asali wakati wa jiwe hakuyasema haya? Kwani wakulima wa nchi hii lini walikuwa na afueni ya maisha?
Mwambieni huyo mamaenu hii nguvu aitumie kuleta umeme, maji na kupunguza makali ya maisha kuliko huu utaahira wenu
 
Mkuu,
Ametoa kitisho gani?
Ebu weka hapa clip ya kauli yake kutishia usalama tuone
 
Kwakuwa tu hupendi ukweli sio? Huo ndio ukweli, kila mtu huvuna alichopanda. Umekereka sana saga chupa unywe.
Skiliza wewe, mwananchi analipa kodi, kodi hiyohiyo ndio Inayomlipa mshahara kiongozi, alafu kiongozi anatumia sehemu ya hiyo kodi kujenga shule nk, badala kiongozi awashukuru wananchi kwakuwa ndio wanaomlipa mshahara kwa kodizao" wewe unataka mwananchi apigemagoti kushukuru na kumsifia mtu anaemlipa mshahara!!!.
It's really nonsense.
 
Hili kombora alilorusha Bashiru linaitwa nuclear limemsambaratisha kila mtu 😀
 
Ushuzi!!!mtu kutoa maoni unaita uhaini hv akili zenu zinakaa upande gani wa mwili!??
 
Kwani Bashiru kasemaje?
Sijaona neno lolote la kutishia maisha ya mtu yeyote katika maneno ya Kakurwa !! Ndio maana huwa tunasema huko mahala watu wenye uwezo wa kupangua hoja kwa kutumia hoja hawapo kwa sasa !! Imebaki ni kutishana tu. !! Wabembelezeni wale wenye uwezo wa kupangua hoja warudi kambini maana mliwachefua wakaamua kukaa pembeni 😅😅 wawalipe na masumule ili yaishe !!
 
Wananunua magari ya kifahali na misafara mirefu mpaka unashangaa
 
Hongera mkuu sema ukweli na juzi kati hapa kuna mtu anaitwa maharage anasema umeme kutengamaa mpaka 2025 shuma miti
 
Rubbish ...Kipindi cha Jiwe muli wadhurumu korosho wakulima munadhani tumesahau??? nyie wote maCCM ni MAVI tuu!!
 
Huenda katumwa na anao waongelea pia!
siasa hakili mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…