Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

UVCCM wamanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
NYIE UVCCM MBONA HUYU KIPINDI AKIWA MWENYEKITI WENU HAMKUMWAMBIA AJITAFAKARI KWA MATAMSHI YAKE ?
 
UVCCM wamanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Huenda he is ready for the worse !! Come what may ! Che guevara alisema “ its better to die standing than to live kneeling “. !!
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Siku hizi watawala wana hofu ya watu wanaowakosoa na wenye mawazo tofauti.
Yani siku hizi kukosoa ni kosa kweli.
 
Vigogo ndani ya CCM kama hakina Lowassa wanajua kabla ujaanzisha vita na kamati kuu ya CCM, hakikisha kwanza una back-up ya kutosha kupitia wenyeviti wa mikoa na wilaya.

Ukisha kusanya hiyo support ndio twende sasa na ‘twanga, nikutwange’ mpaka ndani ya vikao vya ndani.

Vinginevyo bila ya kujipanga asubiri kejeli na maneno mengine mbofu mbofu kama yaliyomkuta Ndugai mpaka akaomba poo. Kuwatisha bila ya support ya ndani kwanza labda kama Dr. Bashiru ana back up nyingine kubwa zaidi kutoka serikalini.

Hila alichosema ni ukweli unasifia maza anaupiga mwingi, halafu ukirudi nyumbani maisha yenyewe unaunga unga, huo ni uzwazwa.
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Atubu sasa asije kuchelewa ka ma Ndagaye
 
Back
Top Bottom