Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Hicho chama kimejaa waovu wengi sana kwa hiyo ni lazima washambuulie mtu ambaye anamkosoa mwenye kichuguu. Hata kama wakiamua kumnyang'anya ubunge hakuna shida lakini wasimdhuru kwa namna yoyote.

Dawa ya hicho chama pamoja na kwamba wana dola na kila kitu ni mwaka 2025 watajuta kusajiliwa.
 
Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.

Hata siku moja, hakuwahi kuongea baya kuhusu CCM kipindi cha dhalimu, labda aliwaongea vibaya CCM Msoga gang maana ndio alichotoka kusikia Magufuli. Pale ndio Bashiru halisi na kiwango chake cha kulamba viatu kwa mgawa vyeo kilipoonekana. Yaani huyu Bashiru alikuwa anafuata chochote atakacho magufuli Hadi akawa kama mjinga.
 
Hicho chama kimejaa waovu wengi sana kwa hiyo ni lazima washambuulie mtu ambaye anamkosoa mwenye kichuguu. Hata kama wakiamua kumnyang'anya ubunge hakuna shida lakini wasimdhuru kwa namna yoyote.

Dawa ya hicho chama pamoja na kwamba wana dola na kila kitu ni mwaka 2025 watajuta kusajiliwa.
Huyo Bashiru hata wakimdhuru ni sawa tu, ili avune uovu aliousimamia kwa wote waliokuwa wanamkosoa Magufuli.

Hiyo 2025 unayosema ni kupoteza muda. Labda kama uongelee machafuko na sio box la kura. Magufuli alishatengeneza presidence ya kutoheshimu box la kura, na akasifiwa na waliofaidika na uhayawani ule. Hivyo 2025 mchezo utakuwa ni huohuo.
 
Tafuta huu uzi una kumbukumbu nzuri tu
Screenshot_20221119-212958.jpg
 
Huyo Bashiru hata wakimdhuru ni sawa tu, ili avune uovu aliousimamia kwa wote waliokuwa wanamkosoa Magufuli.

Hiyo 2025 unayosema ni kupoteza muda. Labda kama uongelee machafuko na sio box la kura. Magufuli alishatengeneza presidence ya kutoheshimu box la kura, na akasifiwa na waliofaidika na uhayawani ule. Hivyo 2025 mchezo utakuwa ni huohuo.
Ukizurula mitaani hususani tandale,temeke, manzese, mburahati, buza, mbagala na mikoani ndio utajua Magu aliiba kura au alipewa na wananchi.
 
Hicho chama kimejaa waovu wengi sana kwa hiyo ni lazima washambuulie mtu ambaye anamkosoa mwenye kichuguu. Hata kama wakiamua kumnyang'anya ubunge hakuna shida lakini wasimdhuru kwa namna yoyote.

Dawa ya hicho chama pamoja na kwamba wana dola na kila kitu ni mwaka 2025 watajuta kusajiliwa.

Endelea kujidanganya
 
Freemind wapi mbwa tu huyo, mbona kipindi cha mwenda zake alikuwa muimba ngonjela na mlamba mavi tu..

acheni kusifia maiti hai hizi!!
Huyo pimbi wa kihutu na yule chakubanga ndiyo walipiga sana hela ya kununua wapinzani uchwara,ni mnafiq sana
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!

Hivi nchi ina uhuru sasa wa watu kuongea.. nchi imefunguliwa..

Kazi iendeleee
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Je CCM haiwezi kukosolewa na Mwanaccm?
 
Back
Top Bottom