kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
ila tuseme tu ukweli CCM watu hawaipendi kulingana na maisha yalivokua magumu ila tu hawana namna !
ni kama una baba mkoloni pale maskani sasa kwa sababu ulijikuta ndio ndingi yako unajikuta hauna namna.
ndio maana Watanzania walio wengi wako tayari anglau wajaribu upande wa pili hata kama jamaa akiuza Nchi au akaamua kila Mtanzania awe shoga sawa tu ila tu wajaribu na penyewe waone huenda vyuma vikaregea 🤸♀️