Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM imefanya kampeni za kistaarabu

ila tuseme tu ukweli CCM watu hawaipendi kulingana na maisha yalivokua magumu ila tu hawana namna !

ni kama una baba mkoloni pale maskani sasa kwa sababu ulijikuta ndio ndingi yako unajikuta hauna namna.

ndio maana Watanzania walio wengi wako tayari anglau wajaribu upande wa pili hata kama jamaa akiuza Nchi au akaamua kila Mtanzania awe shoga sawa tu ila tu wajaribu na penyewe waone huenda vyuma vikaregea 🤸‍♀️
 
CCM imepanga kufanya Wizi mkubwa sana wa Kura Bara na Visiwani
 
Reactions: BAK
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: BAK
MaAir Hostage wanacheka sana huko waliko
 
Reactions: BAK
Huyu Mhutu ajiandae kurudi Burundi baada ya uchaguzi.
Tena afukuzwe haraka sana,Bashiru na Polepole wamemoa mgombea wao kazi kubwa ya kujinadi kwa wapiga kura,waana walikiaminisha chama kuwa upinzani umekufa,baada ya kufanya ununuzi kwa Malaya wa kisiasa.
CCM kutoka kuwa chama tawala hadi kuwa chama cha mabango,fiesta ,kupiga magoti Hadi kusomba watu ili wakaongeze vichwa.
 

Attachments

  • IMG_20201019_154752.jpg
    207.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…