Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Jamani njooni msikilize Bashiru!
Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za kushinda kishindo zilitoka wapi?
====================
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ambaye sasa ni miongoni mwa wabunge sita walioteuliwa na Rais, amesema kuwa pamoja na mambo mengine, uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, umechangia kwa kiasi kikubwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kupata ushindi mnono kwenye uchaguzi huo.