mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Kujipa matumaini pia ni jambo jema, maana hata maandiko yanatuambia tusikate tamaa, japo naona kabisa hadi maji yameshawafika shingoni bwashee.Mwaka 2015 walitudanganya mwaka huu hatudanganyiki.
Sisi inatuhusu nini?Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Tukirudia kosa Tena October atoki Tena kwa suluba hii anayopitia.Akipewa lazima atabadili, anajua fika kwa madhambi yake akitoka madarakani lazima atapelekwa kisutu na segerea.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema...
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Tukirudia kosa Tena October atoki Tena kwa suluba hii anayopitia.Akipewa lazima atabadili, anajua fika kwa madhambi yake akitoka madarakani lazima atapelekwa kisutu na segerea.
Nyooo hatudanganyiki ng'o kusema mseme tena bungeni halafu wewe utuletee alinacha hapa! Jiandaeni mfungashe nyie vibwengo wakubwa nyie mnataka kung'ang'ania kodi zetu??!! Imerudiwa mara nyingi sana kuwa hamtaki wabunge wajenga hoja ila wa kutimiza akidi za kupitisha uchafu wenu. Dalili ni nyingi sana Hivi sema mantiki ya kuengua wapinzani pekee ni ipi? Bashiru we muislamu kobe kabisa!Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema...
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Mbona CCM haiwakemei wanachama wake wanaoisukuma hoja hii!!
Pia Spika wa Bunge alimwambia Mbunge Kessy kuwa hiyo ni hoja ya Bunge lijalo!!
Yupi kati ya hawa makada wa CCM tumwamini sasa?
Kessy nina wasi wasi kama atarejea bungeni kwa muziki Aida Kenani kule Nkasi.Mbona CCM haiwakemei wanachama wake wanaoisukuma hoja hii!!