Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Rais Magufuli hataongeza hata sekunde moja baada ya Awamu yake kuisha

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Rais Magufuli hataongeza hata sekunde moja baada ya Awamu yake kuisha

Nani yuko 2025 kama mimi ?
nakula popcon huku naangalia waTZ mnavyopigwa kamba 2020
 
Wabu
Wabunge ndugai wabunge wa hovyo hovyo wasirudishwe bungeni.
Safari hii cdm Ina wagombea wengi vijana shupavu
NEC wamepewa jukumu la kuhakikisha hawaendi bungeni ili Bunge lijae vilaza wa ndiyooooooooo!!!!!!
 
NEC wamepewa jukumu la kuhakikisha hawaendi bungeni ili Bunge lijae vilaza wa ndiyooooooooo!!!!!!
Na huu ndo mkakati wa magufuli wa nyuma ya pazia. Ni kuhakikisha anawafanya NEC wawapitishe wagombea wengi wa Ccm bila kupingwa ili akidi ya bungeni itimie bara na visiwani ili kibaraka wake ndugai apitishe hoja ya watu wake wachache wakiungwa mkono na mzee Mwinyi kuwa Tuweke katiba pembeni magufuli atawale hadi atakaposema basi!!

Bashiru anadhani sie ni Wajinga wakati tuliwasikia na kuwaelewa mzee mwinyi na ndugai pamoja na chizi wao Kessy mchana kweupe!!
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.

Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.

Dkt. Bashiru amesema:

"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"

The mess being created by the electoral commission under CCM influence is casting a shadow of doubt to any thinking mind. What is all this mess for? They promised the international community and the general public a free and fair election but yet they are still messing with it. These people are not credible and can not be trusted. It is easy to be believed by anybody that, they are preparing a platform to enable them change the presidential service period.
 
Bashiru tunaelewa hapa unaongea na Jiwe mwenyewe. Unampa kabisa msimamo wenu kuwa asiongeze hata sekunde akipata ngwee ya pili. Na hii si mara ya kwanza unasema hivi. Ila nikwambie tu wewe na ‘team’ yako, Jiwe akipita hapa hamtaweza kuzuia hilo. Na lazima kwa dalili alizokwisha onyesha, atasumbua sana kutoka madarakani. Akili kumkichwa, mumsupport tu mzalendo wa kweli Tundu Lissu kuliepusha taifa kwenye mahangaiko yasiyo ya lazima.
 
Akirudi Tena atatutesa Sana check anavyowatesa watumishi eti sababu walimpigia kura Lowasa Mambo ya 2015 bado ana visasi navyo. Sembuse Leo watz wanajaa mikutano ya Lisu mjiandae kwa visasi milele, kimara tu alibomoa nyumba zao eti walimchagua lowasa. Pamebomolewa mita 120 panapojengwa hata mita 70 hazifiki Sasa Hawa wa mita 50 kwann aliwabomolea.
Huwa nashangaa Sana kuona polisi na wakurugenzi wanajipendekeza kwa mtu asiyejali maslai yao.

[emoji28][emoji28] Yani Watanzania tukirogwa safari hii tukampa ridhaa bwana yule, kwa visasi vyake tutajuta kuzaliwa.

#NiYeye #TL
 
Mbona CCM haiwakemei wanachama wake wanaoisukuma hoja hii!!

Pia Spika wa Bunge alimwambia Mbunge Kessy kuwa hiyo ni hoja ya Bunge lijalo!!

Yupi kati ya hawa makada wa CCM tumwamini sasa?
👆🏽👆🏽
 
Back
Top Bottom