Wabunge ndugai wabunge wa hovyo hovyo wasirudishwe bungeni.Kessy nina wasi wasi kama atarejea bungeni kwa muziki Aida Kenani kule Nkasi.
Ni vyema tukahakikisha wabunge wanaopush ajenda ya kuongeza muda hawarejei bungeni.
Madikiteita wote wanasemaga hivyo!Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema...
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Huyu huyu ndio alituambia hawatatumia wasanii wengine isipokuwa T.O.T
Never trust a dictatorMadikiteita wote wanasemaga hivyo!
Na hiki ndiyo kinaitesa sana ccm kibaya zaidi ni vijana wasomi wenye elimu za vyuo vikuu mpaka huko kwenye udiwani.Wabu
Wabunge ndugai wabunge wa hovyo hovyo wasirudishwe bungeni.
Safari hii cdm Ina wagombea wengi vijana shupavu
Kamwambie NdugaiKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema...
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Hata kama ana nia kweli ya kutoendelea, kwa suluba ya Lisu hii anayopata hawezi kujiaminisha kuachia madarakaTukirudia kosa Tena October atoki Tena kwa suluba hii anayopitia.
Rejea kauli ya ndugai wanahitaji 2/3 ili column itimieMbona CCM haiwakemei wanachama wake wanaoisukuma hoja hii!!
Pia Spika wa Bunge alimwambia Mbunge Kessy kuwa hiyo ni hoja ya Bunge lijalo!!
Yupi kati ya hawa makada wa CCM tumwamini sasa?
Kwani kaulizwa?😀Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema:
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
huyu Bashiru awasiliane kwanza na ndugai,tena nasikia eti kapita bila kupingwa huko kwao ili aje auhalalishe uharamia wake kuinajisi katiba ya wananchiKatibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema:
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Wamejistukia dhamira yao,japo awasemi but matendo yao yanasema hivyo.Vifuatavyo Ni viashiria vya kung'ang'ania madarakani.Kwani kaulizwa?😀
Danganya toto. Bashiru ni KM tu mweupe aliyetoka UDSM. Atakuwa na ubavu gani kumzuia asiongeze muda.Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema...
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Bashiru asitufokee, aliyewatangazia Watanzania mpango wa kuondoa kikomo cha muda wa Urais ni Job Ndungai. Na hujuma zilizofanywa na NEC kuwaengua wagombea ubunge wa upinzani ni maandalizi ya mpango huo haramu. Sasa tujiulize wote NEC ilipokea agizo la kuwaengua wapinzani toka kwa nani? Na Ndungai alitumwa na nani kuelezea mkakati wa kubadilisha katiba mwezi November ili kumuwesha Rais aliyepo madarakani kuendelea kutawala hadi atakapochoka mwenyewe?Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni wabadili Katiba ili Rais Magufuli aongezewe muda.
Ameongeza kwamba Rais Magufuli anaomba miaka mitano mingine na muda wake ukiisha basi hataongeza hata sekunde moja ya utawala.
Dkt. Bashiru amesema:
"Mgombea wetu wa Urais Dkt. Magufuli anaomba kura kwa ajili ya kipindi chake cha pili, akimaliza hapo hataongeza hata sekunde. Uvumi kwamba kupitia wingi wa wabunge wa CCM atabadilisha Katiba ili aendelee kuongoza, ni uongo. Upuuzeni"
Usimsingizie Lissu,aliyesema hilo ni Job Ndungai.Hivi Lisu anafikiri hii nayo ya kusema rais atajiongezea muda itamuongezea kura?
Na maandalizi mpango huo haramu tumeyaona na mtekelezaji ni NEC kwa kuhakikisha kuwa Bunge linajazwa na vilaza wa ndiyooooooooo!!!!!!!Anawahadaa watz ukweli ni kwamba uwezekano wa kubadilisha katiba ni mkubwa mno ili meko aongoze milele.