Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Bwashee JF wanakulipa kwa hizi posts unazotuma? Maana wenzio wanatumia mitandao ya jamii kujiongezea vipato
 
Ili kumaliza kabisa huu Utata ni kwanini Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Dk. Magufuli asiitishe tu Press na alisemee hili kwa Msisitizo ulio Kamili?
 
Bashiru akae kimya,hakuna anachokijua, CCM ni ya mtu mmoja yeye ndiye mwamuzi wa kila kitu ,kina Bashiru wapo Kama pazia .
 
Hivi kwani upinzani bado ipo,huo siulishafutwaa,ama huu nao ni upinzani wa kisayansi.
 
Kwani sasa kuna mgogoro.
 
....tutaomba kuwe na referendum na tuwe na chombo huru cha kusimamia kura zetu.
MAAJABU HAYATAISHA DUNIANI.
 
Usiwaamini wanasiasa. Akikwambia ni usiku toka nje ujiridhishe!
 
Hata wapinzani sio wa kuwaamini. Kumbuka kuna mwenyekiti aliebadilisha katiba ya chama chake ili aendelee kutawala milele, pia wapo wengine ni wenyeviti wa vyama vyao toka mwaka 95 mpk leo.
Nadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…