Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Bwashee JF wanakulipa kwa hizi posts unazotuma? Maana wenzio wanatumia mitandao ya jamii kujiongezea vipato
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.

Dr Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.

Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama!
Ili kumaliza kabisa huu Utata ni kwanini Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Dk. Magufuli asiitishe tu Press na alisemee hili kwa Msisitizo ulio Kamili?
 
Bashiru akae kimya,hakuna anachokijua, CCM ni ya mtu mmoja yeye ndiye mwamuzi wa kila kitu ,kina Bashiru wapo Kama pazia .
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.

Dr Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.

Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama!
Hivi kwani upinzani bado ipo,huo siulishafutwaa,ama huu nao ni upinzani wa kisayansi.
 
Huo utakuwa mgogoro mpya na utaenda kueleta kishindo kikubwa sana tutaomba kuwe na referendum na tuwe na chombo huru kitakacho simamia hizo kura zetu.

Hii nchi ina watu smart hawawezi kujaribu kufanya hilo jambo kama watu wangekuwa wanajiongezea tuu tungempata wapi yeye?
Kwani sasa kuna mgogoro.
 
....tutaomba kuwe na referendum na tuwe na chombo huru cha kusimamia kura zetu.
MAAJABU HAYATAISHA DUNIANI.
 
Usiwaamini wanasiasa. Akikwambia ni usiku toka nje ujiridhishe!
 
Hata wapinzani sio wa kuwaamini. Kumbuka kuna mwenyekiti aliebadilisha katiba ya chama chake ili aendelee kutawala milele, pia wapo wengine ni wenyeviti wa vyama vyao toka mwaka 95 mpk leo.
Nadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
 
Back
Top Bottom