Rasmi tunarudi kwenye mfumo wa Chama kimoja. Neno gharama zozote ni neno pana. Kuna mstari mwembamba kati ya serikali na CCM.
Hazina ni mali ya CCM, tunaweza kumaliza hazina ya nchi ili tu CCM ipate viti vyote bungeni, Nini athari zake?
Kwa vile tume Ni ya ccm Ni sahihiZito Kabwe lazima atoke kwa gharama yoyote, ni snitch kama Tundu Lisu!
Wangesema wale Wa upinzani wangeshaitwa centralHakuna kosa kwa Katibu wa CCM kusema hivyo. Ndio kazi yake.
Zito Kabwe lazima atoke kwa gharama yoyote, ni snitch kama Tundu Lisu!
Kaku snitch Nini, wewe na family yako?Zito Kabwe lazima atoke kwa gharama yoyote, ni snitch kama Tundu Lisu!
Ndio, kwa gharama yeyote maana yake hata kwa damu! Mwambie Bashiru tumemuelewa.Zito Kabwe piga, ua, garagaza harudi Bungeni 2025 hata kwa mbinde!
Nadhani Uhuru wako umepitiliza. Tusiwe tunatuhumiana bila ushahidi na mbaya zaidi tuhuma zinapokuwa zimeshatolewa ufafanuzi na member wenzetu.Tangu tulipobaini kuwa wewe Ni miongoni mwa waliopanga na kumbambikia kesi Kabendera. Kila nikiona comments yako napatwa na hasira kali ya kulipiza kisasi.
Inawezekana unawajua wengi waliko
Ben Saanane
Azory Gwanda
Na wengine wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. CCM wajue fitina ,dhuluma,ubabe vina mwisho, Watanzania wajinga wanapungua kila uchao.Nauliza tuu
Hivi kampeni zimeanza?? Maana naona Ccm wakipita kila kona ya nchi kujinadi. Lakini wapinzani hawaruhusiwi hata mikutano ya ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app