Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Tutalirejesha jimbo la Kigoma Mjini mikononi mwa CCM kwa gharama zozote

Kuna mtu atalogwa muda sio mrefu
 
Maana yake ni kuwa hata kama italazimu kugharimu uhai wa watanzania mko tayari ili tu mchukue jimbo la kigoma mjini?
 
Chama Kina mbunge mmoja nyie mko miatatu simumwache tu kwanza huwa anatuchangamsha na uongo wake. Tamaa ya mzee fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…