Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wagombea wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii Sheria

Huyu Mhutu ajiandae kurudi Burundi baada ya uchaguzi mkuu ujao
 
Hapo ni kwamba tume imetii sheria za CCM, period!
 
Nilisikia majibu yake. Majibu haya yangalitolewa na PoleX2 ningelielewa siyo kutoka kwa mtu anayeitw Doctor - PhD holder. Kama ni hivyo, basi doctorate ya hapa Tz. ninawasiwasi nayo. Ma-PhD holder wetu wanapwaya sana.
 
Mpuuzi huyo bashiru. Akili za kudako hizi
 
Katika Chaguzi zote toka 1995, mwaka huu

1. CCM ina viongozi dhaifu, hawana ushawishi.

2. CCM ina wagombea wasio na ushawishi.

3. CCM dhaifu kuliko maelezo.

Sababu ni hizi.

1. Inatumia wazi wazi Dola kujinufaisha bila kificho wala aibu.

2. NEC inawabeba kwa maamuzu yasiyo na mashiko.

3. Wakurugenzi wanafanya hila waziwazi dhidi ya vya upinzani.

Mwaka 2020 CCM ni dhaifu dhaifu dhaifu kwa kuwa ni wazi WANAOGOPA UCHAGUZI ndio maana mwaka jana waliharibu uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Pascal Mayalla, ndiye msomi wa hovyo kuliko hoa wote! Maana hao wengine tayari wameokotwa Jalalani. Paskali akiokotwa Jalalani anaweza akaamua kutembea uchi kabisaaa.
#pascal mayalla
 
Sheria zipi?
Tune wamekata kutoa ahadi wakti za kampeni.
Mgombea wa bashiru yeye abatoa ahadi na anatekeleza akiwa kwenye kampen.
 
Kwa mbinu ovu kama hizi hata huko kwao Rwanda wameshindwa kuwa na amani
 
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee kwa kuwa hawasemi tu kile unachokitaka basi ni wapumbavu dah hizi ni dharau kubwa sana kwa hyo wasomi wote wako chadema tuu kwa kuwa hao ndiyo wanasena unachokita wewe.hii ni judgement ya kimasikini sana na ya mtu asiyesoma.maana hao unaosema hwana njaa pamoja na kupata ruzuku lakin wameshindwa kujenga hata ofisi zao wenyewe hao unaoona wa akili akili zao unazozi appreciate kiasi hicho wamefanya nini cha maana.tuheshimu taaluma za watu jaman hapo ulipo hata form four uli fail uka reseat bado yamekushinda leo hii unakuja kuongelea taaluma za watu kipuuzi hvyo kuwa na adabu mzee
 
Kwanza tumchague Lisu na CHADEMA wagombea wote waliopo.

Tukiingia ikulu, tuna teua baraza la mawaziri wote ccm, halafu baada ya kuwaapisha tunalivunja.

Tukafanye uchaguzi wa wabunge, wale waliopita bila kupingwa watafia huko huko.
 
Mpuuzi wewe una nini zaidi ya kukaa kwa shemeji yako, maendeleo kwako ni kufika form 4, jinga kweli wewe na form 4 yako umefanya nini? babu mzima huna hata akili, wewe una taaluma ngani mwenda wazimu nn?
 
Kama Bashiru amebadilika na kuwa hivyo alivyo unadhani wananchi hawawezi kubadilika na kwenda kupiga kura ya kumtoa magufuri madarakani?
 
Wasiliana na ubongo wako tena, vituko hivi vimetokea kipindi hiki tu.
Nigeria kimewaka huko mambo hayahaya ya kutanguliza njaa mbele.
 
Mpuuzi wewe una nini zaidi ya kukaa kwa shemeji yako, maendeleo kwako ni kufika form 4, jinga kweli wewe na form 4 yako umefanya nini? babu mzima huna hata akili, wewe una taaluma ngani mwenda wazimu nn?
Fala wewe eti form four ndo nimejua akili yako matupu huna unalojua zaidi ya chuki tu yaan wewe hata kama umesoma ni umeikomboa elimu syo wewe kukombolewa na elimu mfu kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…