Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kash Kash karibu na uchaguzi
==
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali tukazoea matatizo,"
Kauli hiyo imetokana na kutoridhishwa kwake na utendaji wa kituo hicho, ambacho kimeshindwa kutoa huduma bora kwa wananchi.
Dkt. Biteko ameagiza kufumuliwa na kuundwa upya kwa kituo hicho ndani ya wiki moja ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma zinazostahili.
Soma, Pia: