The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Hakuna jambo linakera wananchi kama kukatika umeme hasa kama hawajapewa taarifa na ndio maana tumeamua kituo chetu cha huduma kwa wateja tukiimarishe, umeme unapokatika watu wapewe taarifa,..Tumeamua kila Wilaya na kila Mkoa kuwe na ma 'group' ya WhatsApp meneja awe 'admin' kwenye yale magroup kwa ajili ya kuwapa taarifa watu".
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Aprili 29, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge waliochangia hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.