Nakubaliana na wewe kabisa.Sawa.Lakini kwa watu wenye akili timamu wanaweza kumuuliza:
"Wabunge wa CCM ni takribani 100% kwa idadi bungeni.Je, kuna tija yoyote?".
Naelewa wazi rais Samia hatawabeba wabunge wazembe wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Niaminini mimi.
Najua hayupo kihivyo but..this is too low...
I dont think kama nitakuja kutega sikio ili kusikia chochote kutoka kinywani mwake...tuchunge sana matamshi yetu...huwa najiuliza sana kwa nini Mungu ameamua kutupa watu wa aina hii kutuongoza?