Nakubaliana na wewe kabisa.Sawa.Lakini kwa watu wenye akili timamu wanaweza kumuuliza:
"Wabunge wa CCM ni takribani 100% kwa idadi bungeni.Je, kuna tija yoyote?".
Naelewa wazi rais Samia hatawabeba wabunge wazembe wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Niaminini mimi.
Kutwa wanagonga meza hakuna la maanaSawa.Lakini kwa watu wenye akili timamu wanaweza kumuuliza:
"Wabunge wa CCM ni takribani 100% kwa idadi bungeni.Je, kuna tija yoyote?".
Naelewa wazi rais Samia hatawabeba wabunge wazembe wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Niaminini mimi.
Kwa sababu amesema mchague CCM?Huyu amekuja kuwa Waziri wa hovyo sn sijui kwanini na wakati alikuwa mchapa kazi
Huyu naibu PM ni low mind. Haelewi hata majukumu ya nafasi bandia aliyopewa. Ni afadhali angepewa ukatibu mwenezi wa chama maana huko hakuhitaji akili isipokuwa kelele za kuwasema wapinzani.Kama huyu ndiye naibu waziri mkuu, basi tumepigwa.
Huyu mwalimu wa shule ya msingi Biteko hana kitu kichwani kabisa. Ama kweli ccm hutoa vyeo kwa mbumbumbu.
Hivi amewahi kuongea cha maana huyu? Wapi? Na lini?
Wajinga sana hawa wapinzani. Mwingine leo kaamka anapinga wajumbe wa Kamati ya Uhamasishaji Timu ya Taifa. Sijui Wana akili za Masaburi????Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
..madhara ya utawala wa CCM toka tupate uhuru Doto Biteko hayaoni? au kwasababu anatembelea V-8 na kuishi ktk majumba ya kifahari?
Another brain bankrupt, amechangia ujinga wake kwa maana ndiyo pekee kilichopo kichwani mwake. Hawezi kuchangia asicho nacho.Watatengwa kama Mbeya.Toka tumewaweka pembeni Wapinzani maendelea ya Mkoa Sasa ni kemkem.
Ni ujinga kuchagua Wapinzani ambao hawawezi kushika Dola then sijui watakuwa wanatekelezaje Ilani.
Umeulizwa unaitwa nani au maana ya jina lako?Ninaitwa Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde βοΈ
Ujinga ni mzigo kwa taifa..!!Watatengwa kama Mbeya.Toka tumewaweka pembeni Wapinzani maendelea ya Mkoa Sasa ni kemkem.
Ni ujinga kuchagua Wapinzani ambao hawawezi kushika Dola then sijui watakuwa wanatekelezaje Ilani.
Hapana, nadhani ni kwa sababu hajitamui na amejaa unafiki. Haelewi aseme nini na afanye nini kwa wakati gani. Lakinj mbaya zaidi, ni mla rushwa mkubwa.Kwa sababu amesema mchague CCM?
Uchague mpinzani ambae chama chake hakiwezi kushika Dola Ili asimamie Ilani ya nani?Another brain bankrupt, amechangia ujinga wake kwa maana ndiyo pekee kilichopo kichwani mwake. Hawezi kuchangia asicho nacho.
πππ¨Ujinga ni mzigo kwa taifa..!!
Kumbe huyo Mheshimiwa na yeye anaakili za hivo.Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM
Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa kuichagua CCM miaka tote, " Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake" amesisitiza Naibu Waziri mkuu
Source: Upendo TV
Wanapinga kwa maneno tu, mtekelezaji ni CCM, msitake visingizio, kwa miaka mitano,majinbo yote ni ya CCM, kuna tofauti gani? Kwani wawakilishi wa CCM wanakunya pesa, kwenye majimbo yaliyokuwa Chini ya CCM, maendeleo hayakupelekwa ili kuwakomoa wananchi kwa kuchagua upinzani, kama jimbo likiwa na mpinzani, "maendeleo hayatokei" Je serikali huwa na Kodi haikusanyi kwenye hayo majimbo? Kama ili endelea kukusanya,zinapelekwa wapi?Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Hivi huyu naye anajiona ana mchango wo wote kwenye siasa za nchi hii!Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM
Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa kuichagua CCM miaka tote, " Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake" amesisitiza Naibu Waziri mkuu
Source: Upendo TV
Ndiyo sababu una ujinga mwingi!Ninaitwa Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde βοΈ
Sasa hakuna wapinzani bungeni Kuna Nini kinaendelea sasaYuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.