Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Same old stories na tunajua. La msingi wafanye kwa vitendo nishati iahuke bei hasa umeme. Bwawa kimeisha bei hawajashusha kama walívyoakuwa wameahdi hapo mwanzo badala yake wakaweka kodi ya majengoNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.
"Kwa nchi yoyote inayotaka kukua kwa kasi inategemea Nishati inayopatikana kwa hakika na yenye bei nafuu, Bila nishati ya gharama nafuu, uchumi utabadilika na bidhaa zitazalishwa kwa gharama kubwa zaidi," amesema Dkt. Biteko.