Dkt. Biteko: Ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu

Dkt. Biteko: Ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.

Soma Pia: Dkt. Biteko aeleza Tanzania inavyojiandaa kuuza umeme nchi jirani na uwepo wa soko la uhakika

"Kwa nchi yoyote inayotaka kukua kwa kasi inategemea Nishati inayopatikana kwa hakika na yenye bei nafuu, Bila nishati ya gharama nafuu, uchumi utabadilika na bidhaa zitazalishwa kwa gharama kubwa zaidi," amesema Dkt. Biteko.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.

"Kwa nchi yoyote inayotaka kukua kwa kasi inategemea Nishati inayopatikana kwa hakika na yenye bei nafuu, Bila nishati ya gharama nafuu, uchumi utabadilika na bidhaa zitazalishwa kwa gharama kubwa zaidi," amesema Dkt. Biteko.
Same old stories na tunajua. La msingi wafanye kwa vitendo nishati iahuke bei hasa umeme. Bwawa kimeisha bei hawajashusha kama walívyoakuwa wameahdi hapo mwanzo badala yake wakaweka kodi ya majengo
 
Anatwambia tunachokijua.., Swali ni nini Wanakifanya ?
  1. Kwanini wasihakikishe umeme unakuwa gharama ndogo chini ya 100/= per unit kwa kila mtu
  2. Kwanini badala ya kupeleka nguvu na kuwa madalali wa gesi ya kutoka ughaibuni kwanini wasiwekeze umeme ambao upo nchini ushuke bei
  3. Kwanini badala ya kutoa ruzuku ili wagawe mitungi ya gesi kwa kodi zetu ili kesho mkulima atoe gharama zaidi kutumia gesi badala ya umeme kwanini wasigawe majiko ya umeme yenye ufanisi
  4. Badala ya kutwambia tunachokijua kwanini wasifanye hicho wanachotwambia ?

Back
Top Bottom