Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu.
Duru zinadai Dkt. Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche.