Dkt. Chamliho alitenguliwa Ujenzi ili Prof. Mbarawa akarahisishe ya Dubai Port?

Dkt. Chamliho alitenguliwa Ujenzi ili Prof. Mbarawa akarahisishe ya Dubai Port?

Zanzibar si kuna bandari?,akabinafsishe hiyo,ya Dar hatutaki kwa kweli
Huyu maza ni mtu hatari kama magu,yeye anaangalia mali za bara kwao zanzibar hagusi kitu...anachukua kwa jina la bara anawapa znz
 
Back
Top Bottom