Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Ndio maana yake hawa ni wa kuwaondoa mapemaSasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dk Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu
Duru zinadai Dk Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche
Asonge mbele kukopa na kuuza bandari yetu, mkuu..umechanganyikiwa auMama songa mbele, usisikilize wapumbavu hawa. Hawatoelimika, hawatonyamaza, hawatoona, hawatosikia, hawatohisi katika ngozi zao, hawatoondoa hisia hasi dhidi yenu hata mfanye nini, hawatokaa wawatakie kheri hata ya sekunde mbili abadan. We songa mbele!!
Sikuwahi amini uwezo au uzalendo wa viongozi walioteuliwa na yule Aliyetembea. Na hao vijana waliopo wataishia kuja kuwa viongozi wa kumfanania Stone aliyewateua.Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dk Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu
Duru zinadai Dk Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche
mtakufa kwa kihoro kwa uongoSasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dk Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu
Duru zinadai Dk Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche
Mama anafikiri hijab na uislaam wake unaweza kuletea nchi upendeleo toka uarabuni. Anakosea sana. Hijab na uislaam wake waarabu wanajua atawapa wao manufaa sio wao kutoa manufaa. Hakuna wajomba duniani.Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dk Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu
Duru zinadai Dk Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche
Hiki ndicho wabongo tunachokiweza. Kuzipa habari vichwa vya uongo tunavyovibuni sisi wenyewe.Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu.
Duru zinadai Dkt. Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche.
Mpuuzi wewe ondokana na mawazo ya kishetani haya, yanakuongezea mzigo wa dhambi zisizo na sababu.Mama anafikiri hijab na uislaam wake unaweza kuletea nchi upendeleo toka uarabuni. Anakosea sana. Hijab na uislaam wake waarabu wanajua atawapa wao manufaa sio wao kutoa manufaa. Hakuna wajomba duniani.
Tunapofikiria ya bandari tusisahau ya loliondo.
Chamuliho aliondolewa kwa kupuuza hoja za kitaalam alizoshauriwa na mkurugenzi mmoja wa mamlaka iliyokuwa chini yake, huyu akitaka kumjengea chuki kwa wananchi kaamua kuja na hoja zake zilizofilisika.mtakufa kwa kihoro kwa uongo
Ndio una jingine?Sasa naanza kuamini aliyekuwa waziri wa miundombinu Dkt. Chamliho alitenguliwa makusudi ili mwenye mamlaka aweke mtu atakaye mmudu ili iwe rahisi kufanya hayo ya waarabu.
Duru zinadai Dkt. Chamliho alivimbisha shingo kwa kumkatalia bi tozo kuhusu mkataba ule mwanzoni kabisa kuwa haufahi na ilikuwa kinyume na sheria na hapo zengwe la yeye kufutwa uwaziri lilipojiri.
Ama kweli bwana kila jambo litukialo huwa na jambo fiche.
Achana nao wajinga na wadini wakubwa hao. Tegemea kila jambo la mama walipinge; pekee ambacho hawatokaa wamlaumu huyu mama ni kama akikubali sera za ushoga tu basi kutoka kwa mabwana zao wazungu.mtakufa kwa kihoro kwa uongo
Mungu atampigania kwa hila hizi zinazopangwa wazi na hawa maadui zake; ni wa kuwapuuza tu!!Mpuuzi wewe ondokana na mawazo ya kishetani haya, yanakuongezea mzigo wa dhambi zisizo na sababu.
Kwa hiyo JPM nae alitakiwa apunguze ukatoliki wake. Ni akili za kitoto sana kutazama kila kitu katika fikra za kidini.
Bandari imeongozwa na sisi wa huku bara tangu uhuru, kipi cha maana tumefanikisha?.
Mnakuja na hoja za kipumbavu za kidini ili kumjengea chuki kwa watu wenye upeo mdogo wa kufikiri kama nyinyi ambao kwa bahati mbaya nchi hii inao wengi.
Alikua waziri wa kilimo malawiDr. Chamliho ni Waziri wa nini?