B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Jun 7, 2023 #21 Tlaatlaah said: Dr. Chamliho ni Waziri wa nini? Click to expand... Alikuwa ndio dalali wa Jiwe kwenye kununua Ndege!!
Tlaatlaah said: Dr. Chamliho ni Waziri wa nini? Click to expand... Alikuwa ndio dalali wa Jiwe kwenye kununua Ndege!!
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 Jun 7, 2023 #22 Luggy said: Zanzibar si kuna bandari?,akabinafsishe hiyo,ya Dar hatutaki kwa kweli Click to expand... Huyu maza ni mtu hatari kama magu,yeye anaangalia mali za bara kwao zanzibar hagusi kitu...anachukua kwa jina la bara anawapa znz
Luggy said: Zanzibar si kuna bandari?,akabinafsishe hiyo,ya Dar hatutaki kwa kweli Click to expand... Huyu maza ni mtu hatari kama magu,yeye anaangalia mali za bara kwao zanzibar hagusi kitu...anachukua kwa jina la bara anawapa znz
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Jun 7, 2023 #23 tweenty4seven said: Alikua waziri wa kilimo malawi Click to expand... 🤓Sawa