Hassani
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 900
- 1,632
Wasipowachukulia serious mnasema serikali haitoi support,waziri wa utamaduni Sanaa na michezo anakuja front mnabeza.Ulitaka aje nani kutangaza tunzo za wasanii wetu.Kitu kidgo Kama hicho..hadi waziri atangaze...