Wasipowachukulia serious mnasema serikali haitoi support,waziri wa utamaduni Sanaa na michezo anakuja front mnabeza.Ulitaka aje nani kutangaza tunzo za wasanii wetu.Kitu kidgo Kama hicho..hadi waziri atangaze...
Hakuwepo nchiniFA kuogopa lawama akaona mwache Dkt atangaze mwenyewe.
Basata.Wasipowachukulia serious mnasema serikali haitoi support,waziri wa utamaduni Sanaa na michezo anakuja front mnabeza.Ulitaka aje nani kutangaza tunzo za wasanii wetu.
Very pretty, low price profile minister, hio ni ya afsa habari na mahusiano, au, afsa masoko. Tuna mawaziri mazwazwa sana hio ni infringement ya kijinga sana.Kitu kidgo Kama hicho..hadi waziri atangaze...
Halafu siku ya kugawa Tuzo waziri huyo huyo aliyetangaza anakuwa mgeni wa rasmiVery pretty, low price profile minister, hio ni ya afsa habari na mahusiano, au, afsa masoko. Tuna mawaziri mazwazwa sana hio ni infringement ya kijinga sana.
Aibu sanaHalafu siku ya kugawa Tuzo waziri huyo huyo aliyetangaza anakuwa mgeni wa rasmi