Dkt. Charles Kitima na Dkt. Slaa wote wamewahi kuwa Makatibu wa TEC haya ndiyo maoni yangu kuhusu waraka wa TEC

China wako wangapi na bado DP W yupo
 
Huu ujinga wa kutishia Rwanda na Burundi iliisaidia sana CCM wakati mfumo wa vyama vingi unaanza, kwa bahati mbaya na ww unadhani hadi leo hicho kitisho kina maana. Lakini kama ni machafuko ni bora yatokee ama mapinduzi ya kijeshi ili nchi yetu ipate mabadiliko ya kweli. Bila hivyo hakuna mabadiliko yoyote ya kweli yatatokea kiutawala.
 
Naomba nikiri,nimesoma aya ya kwanza tu.
Hivi mnapata wapi muda wa kuandika gazeti reeeefu lenye matope namna hii!!??
Njoo huku Kisiju nikupe kazi ya kukupatia kipato halali kwa jasho lako halali utakalomwaga.
 
Kwa hoja hizo kweli viongozi wetu wamekula rushwa.
Ila faizafox anasema akifanya muislam mwenzie na yeye kafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…