Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.