Dkt. Chuwa: Hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri

Dkt. Chuwa: Hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri

Joined
Sep 17, 2021
Posts
39
Reaction score
84
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
FmxRCkoWAAYpnld.jpg
 
Mmmh ukisikia haya yanatamkwa na msomi kama yeye wakati hali ya kitaa inajulikana, ni hatari na inashangazwa.
Wananchi wanaumizwa na inflation ,wengine wanakula mlo mmoja mnasema kuna stability?
Kuna haja ya serikali kubadilisha hii inflationary target kutokana na shilingi yetu kudrop kila kukicha.
 
Hizi takwimu hazipo sahihi kulinganisha na haya maisha yaliyo mitaani.

Zimepikwa hizi takwimu.
 
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
Kwa vile anaendesha v8 za serikali hii kitu anajisikia tu
 
Yeye Analipiwa Kila Kitu V8,Samani Nyumbani Kwake, Safari Za Kikazi Analipwa, OC Ya Ofisi Unafikiria Atasemaje?
Akikandia Anapigwa Chini Chap, Analinda Ugali
Dkt Mbabaifu Tu Analingana Na Wa Jalalani
 
sawa Ndege ya mizigo ilikuwa na abiria wa kitalii waliokaa chini.tumekubali
 
Majirani ni nini na kwa nini ujilinganishe? Dhibiti mfumuko wa bei acha kujilinganisha na mwenye nacho
 
Hawa wangese wanafikiria kwa kutumia makalio, pambaf kabisa
 
Back
Top Bottom