Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Kwa vile anaendesha v8 za serikali hii kitu anajisikia tuMtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
Na kwamba eti mfumuko wa bei ni HIMILIVU really?Wasomi wetu bhana baada ya kutoa takwimu zinasemaje yeye anakuja na habari za majirani zetu...
Katudanganya wewe unaona pana Elimu hapo kwa huyo Mama ? Kila siku akiongea huwa nashangaa hiyo PhD sijui ni ya nini kweli...Na kwamba eti mfumuko wa bei ni HIMILIVU really?
Mkuu umeona vema nilitaka kusema hivyoUkiangalia hizo sura tu unaona kabisa hamna mtu